mrembo jesca kikumbi awa manager wa ndanda kossovo!!

mrembo jesca kikumbi awa manager wa ndanda kossovo!!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Mwanamziki mwenye asili ya kongo aliyetamba kipindi cha nyuma na wimbo wake wa nuhu tufungulie safina kossovo kichaa amerudi tena kivingine. Baada ya kuwa amafukuzwa nchini alipokamatwa arusha bila kibari aliamua kwenda chimbo mexco.
Mi kilicho nifurahisha ni baada ya kurudi na kumchagua mwanadada jesca ambaye ni mtoto wa king kiki awe manager wake. So sasa hivi jesca kikumbi ndiye manager wa ndanda kossovo. nasubiri kuuona wimbo mpya wa mtu na bao.
kazi kwelikweli. mia
 
Wataishia kuwa wapenzi na bendi yenyewe itaishia hapo hapo!
 
Back
Top Bottom