Mrembo Kim Nana kuja na strippers club!

Mrembo Kim Nana kuja na strippers club!

Wewe ngumbaru acha kupotezea watu muda kwa huo upumbavu mwingi uliojaa kichwani mwako. Huyo ni malaya na tapeli na muongo. Hana utajiri wowote and certainly hana bilioni 5 let alone to invest that amount. Jitahidi kulimit upumbavu wako
Wapi amesema ana b 5? Jaribu kuelewa huo uwekezaji wake utacost b 5 haimanishi ana b 5, na hivyo ana watu nyuma yake ambao ndio wataunda partnership rudia kusoma vuzuri na uache mihemko na hasira hazisaidii mkuu personal issues zenu nenda mfwate umwambie mimi nawasilisha tuu.
 
Siku nyingine usilete taarifa za kipumbavu humu. Muwe mnajadiliana huko huko kijiweni na wapumbavu wenzako
 
Huyu Kim nana anajishughulisha na nini? Tuanzie hapo kwanza kabla yakuenda kwenye utajili wake
Ni mjasiriamali anajishughulisha na biashara ya nguo, vipodozi na kilimo cha vanilla na iliki. Pia ni exporter mkubwa wa viungo kwenda nchini china, japan na nchi za uarabuni.
 
Ni mjasiriamali anajishughulisha na biashara ya nguo, vipodozi na kilimo cha vanilla na iliki. Pia ni exporter mkubwa wa viungo kwenda nchini china, japan na nchi za uarabuni.
Eti exporter mkubwa. Kuna majitu mapumbavu sana. Malaya huyo hicho kilimo alikifanyia shambani kwa baba ako?
 
Back
Top Bottom