Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli , Georgina ni nani na kwanini nyimbo hiyo ili tungwa na jabari huyo wa Muziki.
Georgina alikuamtoto wa kishua , Pisi kali iliyo ishi ndani ya Oysterbay ambayo wazazi wake walikua wanajulikana ( Nimesahau jina la kwanza la huyu mze sijui ni Philip or Philip alikua mtoto wake , sikumbuki vizuri) ila Mzee huyo alikuwa anaitwa Mr Mahiga ( kaka ya yule Balozi Mahiga) na mkewe Mama Consolata Mahiga ,alikua mama mmoja Mrembo sana alikua ni mix wa Kiiringa na Kijerumani , mama alikua Mrembo Obay nzima ambaye baadae alikuaja kuwa naibu Meya wa Msasani sijui Kinondoni .Kwa wale mlio ulizia Pisi kali za Obay , basi hii familia watoto wote walikua pisi kali kinoma
Mrembo Georigina ( sijui story kw aundani kuna naye jua ataileta hapa) alikutana na jabari huyo w Muziki , wakapendana na waka wapendi na kupelekea Ms Georgina kupata uja uzito, kitendo ambacho kilikua si kawaida kwa jamilia ya Mahiga ambayo ni strictly Roman Catholic na Marijani alikua Msanii ( kama tujuavyo wasanii walionekana wahuni , hakuna mzee yoyote angekubali mwanae aolewa na Msanii, hata mimi nisinge kubali ), hivyo kulepekea mrembo huyo kutenganishwa na Mpenziwake Mr Rajaba kwa ku hamishwa toka Dar nakupelekwa kuishi Iringa , huko alifanikiwa kujifungua mtoto aliye julikana kama Freddy au labda Fredrick.
Hivyo kutokana na kitendohicho kuwa siri , basi wengi wetu hatukujua story kamili ya mrembo huyo na hakujua kama aliye imwba kwnye hiyo nyimbo ni mrembo kutoka Obay .
Nilipata kuthibitisha story hiyo baada ya rafiki yangu Freddy ambaye ni mwanae Georgina kuniambia kwamba anataka kuandika kitabu na baadae film kuhsuu mama yake na Gwisji huyo hivyo hiyo ilikuwa ni uthibitisho wangu kwamba ni kweli georgina ndio aliye imbwa na marehemu Marijan Rajab.
Kwa bahati mbaya Mwanae Freddy alikuja fariki alipo kwenda Iringa miaka kadhaa iliyo pita bila ku tekeleza wazo lake na pia Mrembo Georgina naye akaja fariki miaka kama miwili au mitatu iliyo pita .
Hiyo nindio story kwa ufupi kuhusu mrembo uyo kwa yoyote mwenye story kamili atiririke .
R.I.P.Georgina and Freddy .