Mrembo kutoka Oysterbay aliye kamata moyo wa gwiji la Muziki Tanzania na kuwa famous Tanzania nzima

Mzee una mastori balaa! Tupe madini tupeee
 
Akina Mahiga na mabinti zao, kuna mmoja alikuwa PPF mtoto wa kaka yake Mahiga kama sikosei jina Hellen, pisi kali kinoma aliolewa na jamaa mmoja mtoto wa mjini kutka Mwanza kama sijakosea jamaa alikuwa anafanya kazi kwenye zile kampuni ya madawa ya taifa miaka ile kulikuwa na Bhesco,RTC, Biashara Consumers na hiyo ya madawa iliyokuwa chini ya kada wa CCM Mzee Shekifu
 
Yes, Mmoja wa Mabinti wa huyo Mzee ni Hellen ,wale mabinti wote pisi kali kinoma aisee.
 
OOh yes ,Kisu kinoma huyu alikua ,Asante kwa picha .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…