Mrembo Kylie Jenner awa Bilionea mdogo zaidi duniani avunja Record ya Mark Zuckerberg

Mrembo Kylie Jenner awa Bilionea mdogo zaidi duniani avunja Record ya Mark Zuckerberg

Ile familia ni devil kingdom kabisa mda wote mapicha ya uchi uchi na baba yao kujibadili jinsia pumbav kabisa

Sent from my using Tapatalk
 
Ile familia ni devil kingdom kabisa mda wote mapicha ya uchi uchi na baba yao kujibadili jinsia pumbav kabisa

Sent from my using Tapatalk
Mnamwabudu sana shetani, maana kila zuri na jema la kwake
 
Yaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.
Huyu si ndie aliomba achangiwe ili awe milionea?huyu anatembelea nyota ya dada zake,na hana tofauti na akina Sepetunga,Uwoga,Mangi,Mabito n.k
 
Ukijiuliza whats so special with this family hadi wawe maarufu hivi hata hupati jibu[emoji134]
 
Kujituma kwake ndio kumemfikisha hapo. Maana sio wote wanaozaliwa kwenye familia zenye uwezo na umaarufu wanaweza kufika alipofikia kylie.
Inapendeza sana msichana mdogo kuvunja record za namna hii
 
Kwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu

Akipiku record ya mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ambae alikuwa anashilikilia ya record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi Duniani akiwa na miaka 23.

Utabiri wa Kylie Jenner umetokana na bidhaa zake za "Kylie Cosmetics" akiuza make up. Forbes wanasema Kylie anaingiza zaidi ya £274 kwa mwaka kutokana na uuzaji was make up.

View attachment 1039120View attachment 1039121View attachment 1039122

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mzee

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom