Sana tuuu!!!Lakini msisahau Kylie is another Kardashian, ambapo hata wakianza kuuza viberiti hivi hivi na slogan "Lighting With Kardashian" hesabu watapiga tu pesa!!
Aisee ..
Mnamwabudu sana shetani, maana kila zuri na jema la kwakeIle familia ni devil kingdom kabisa mda wote mapicha ya uchi uchi na baba yao kujibadili jinsia pumbav kabisa
Sent from my using Tapatalk
Colgate 10,000?Upo sahihi kabisa mkuu
Wanawake Ni wateja wa uhakika
Ni rahisi kwa mwanamke kununua liptick ya 50,000 kuliko mwanaume kununua mwanaume kununua Colgate ya 10000
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ndio huwa mnakaa kwenu mpaka miaka 35 mnajiona bado watoto.
Huyu si ndie aliomba achangiwe ili awe milionea?huyu anatembelea nyota ya dada zake,na hana tofauti na akina Sepetunga,Uwoga,Mangi,Mabito n.kYaani nimegundua ukifanya biashara yoyote ambayo wateja wake ni wanawake kwa asilimia kubwa lazima ifanikiwe.
Uroyalit wao ...Ukijiuliza whats so special with this family hadi wawe maarufu hivi hata hupati jibu[emoji134]
Kwhy mtu akifanikiwa ni Devil na sio Mungu?kwhy shetani yupo kwao tuu ndo maana wanafanikiwa?Naamini mafanikio ni juhudi ya mtu na sio shetani.Ile familia ni devil kingdom kabisa mda wote mapicha ya uchi uchi na baba yao kujibadili jinsia pumbav kabisa
Sent from my using Tapatalk
Ninyi ndio huwa mnakaa kwenu mpaka miaka 35 mnajiona bado watoto.
Acha kabisa hiyo family ina member walio virugwaIle familia ni devil kingdom kabisa mda wote mapicha ya uchi uchi na baba yao kujibadili jinsia pumbav kabisa
Sent from my using Tapatalk
Papuchi.....period!!Ukijiuliza whats so special with this family hadi wawe maarufu hivi hata hupati jibu[emoji134]
Mbona mzeeKwa mujibu wa Forbes mrembo na binti mdogo kabisa katika familia ya Kardashian, Kylie Jenner ameweka record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi kuwahi kutokea Duniani akiwa na miaka 21 tu
Akipiku record ya mwanzilishi wa Facebook Mark Zuckerberg ambae alikuwa anashilikilia ya record ya kuwa Bilionea mdogo zaidi Duniani akiwa na miaka 23.
Utabiri wa Kylie Jenner umetokana na bidhaa zake za "Kylie Cosmetics" akiuza make up. Forbes wanasema Kylie anaingiza zaidi ya £274 kwa mwaka kutokana na uuzaji was make up.
View attachment 1039120View attachment 1039121View attachment 1039122
Sent using Jamii Forums mobile app