DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #261
Hahaha mbona kilema!Angejua he he he nahisi angeniweka kilema.......ile kutoka nje ya ndoa ni tamaa tu hakuna kingine
Siku ya ndoa yako unataka ikumbukwe kwa kipi!?
Bora kujiandaa zaid kwa harus au ndoa!?
Honeymoon yako utamshangaza mumeo kwa kipi atakachokaa hasahau?
DJ sepetu