Mrembo live interview on muosha rungu show

Angejua he he he nahisi angeniweka kilema.......ile kutoka nje ya ndoa ni tamaa tu hakuna kingine
Hahaha mbona kilema!
Siku ya ndoa yako unataka ikumbukwe kwa kipi!?
Bora kujiandaa zaid kwa harus au ndoa!?
Honeymoon yako utamshangaza mumeo kwa kipi atakachokaa hasahau?

DJ sepetu
 
Usijali dada langu shunie yule mtu alichungulia hapa ila kaondoka mdomo[emoji40][emoji40]
Haaaaaaa kuna muda nilikutana naye maeneo flani nikampa za uso hakurudi tena.
Emmyta anajua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…