Mrembo live interview on muosha rungu show

Mrembo live interview on muosha rungu show

Kinachonifanya nifurahi ni michango mbalimbali ktk mada zinazowasilishwa humu .......kinachonikera humu ni tabia ya baadhi ya members kufake jinsia ....kiukweli hawa watu wanatakiwa kubadilika
[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Jamani naomba niwaage .....nalala sasa .....nawatakia usiku mwema kwa wanaopumzika kama mimi sasa hivi ......
Niwatakie kazi njema kwa wale wanaongia kazini sasa hvi
Kwa pamoja mwenyezi mungu atulinde usku huu dhidi ya husda na shari za ulimwengu tupate kuamka salama tukiwa na afya njema inshaallah ......
Kwaherini

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom