Masaa 2 yanamtosha interview gani haiishi ukilala ukiamka unaulizwa maswaliInatakiwa tumpangie muda
Atae kuoa nampa pole sana maana atakuwa amepata hasaraIpo siku utanielewa tu mtoto mzuri. Mimi sikati tamaa.
Love you die sinyorita
Mzima lakini? ?Aaah mbona kawaida tu Linamo
Hapa ids fake kila kitu fake sioni jipya wala lakushangaza
Mzima lakini? ?Aaah mbona kawaida tu Linamo
Hapa ids fake kila kitu fake sioni jipya wala lakushangaza
yaani mimi SHILAWADU?Kinacho kushangaza
Ndoto yangu ni kutaka kua na kituo changu cha kulea watoto yatimaSawa
Nn ndoto yako kubwa!?
Anza kujibu hoja za wachangiaji
DJ sepetu
Mungu akusaidie utimize ndoto yako mamyMalengo yangu baada ya miaka mitano nataka kujenga kituo changu cha kulekea watoto yatima ili niweze kuwasaidia mayatima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Interview zangu zina muundo wa baraza zaidi unatoka unarudi!
DJ sepetu
Interview masaa mawili tu jaman ujue unawachosha haziishiBasi zesh uje jibu hoja za wachangiaji majariwa kesho
DJ sepetu
Inshaallah[emoji120]Mungu akusaidie utimize ndoto yako mamy
Hii siyo interview ni genge la soga[emoji28] [emoji28] [emoji28]Masaa 2 yanamtosha interview gani haiishi ukilala ukiamka unaulizwa maswali
Ameen loveInshaallah[emoji120]
Mungu akusimamie ufanikishe hili.Ndoto yangu ni kutaka kua na kituo changu cha kulea watoto yatima
[emoji106][emoji106][emoji106]Kinachonifanya nifurahi ni michango mbalimbali ktk mada zinazowasilishwa humu .......kinachonikera humu ni tabia ya baadhi ya members kufake jinsia ....kiukweli hawa watu wanatakiwa kubadilika
Kesho ishapoaKesho nayo dei!
DJ sepetu