Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niangalie kwanzaMkuu jinsia yako tafadhali[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Acha hasira mtoto mzuri.Atae kuoa nampa pole sana maana atakuwa amepata hasara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibarazaaaHii siyo interview ni genge la soga[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Sawa muosha rungu wa best yangu moneytalkNimesema ina muundo wa kijiwe au baraza kesho atajibu hoja
DJ sepetu
Hahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kibarazaaa
Sana sana [emoji120]Mungu akusimamie ufanikishe hili.
Ni moja ya sadaka kubwa Sana. [emoji120] [emoji120]
Lala unono mamyJamani naomba niwaage .....nalala sasa .....nawatakia usiku mwema kwa wanaopumzika kama mimi sasa hivi ......
Niwatakie kazi njema kwa wale wanaongia kazini sasa hvi
Kwa pamoja mwenyezi mungu atulinde usku huu dhidi ya husda na shari za ulimwengu tupate kuamka salama tukiwa na afya njema inshaallah ......
Kwaherini
Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
Sihami humu labda waje watu wasiojulikana[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niangalie kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa
Msalimie sanaYaap Huyo ndio mkalia ini!
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sihami humu labda waje watu wasiojulikana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ningezaa mtto wa kike kama ww ningefanya barta trade nikabadilisha na mbwa au nguruweAcha hasira mtoto mzuri.
Njoo geto tuwashe penzi kama moto.
Linakuja lingineNadhani nimekujibu
Ushakiita kiporo hapo kimeshapoteza sifaHata kiporo hupashwa moto!
DJ sepetu
Waooh habari nzuri sana hizi, nini kimekusukuma kufanya hivi kwa maana baadhi ya watu hawawezi??Malengo yangu baada ya miaka mitano nataka kujenga kituo changu cha kulekea watoto yatima ili niweze kuwasaidia mayatima
Mimi mzima sana dada, habari yakoMzima lakini? ?
Salama kabisaMimi mzima sana dada, habari yako