Mrembo live interview on muosha rungu show

Ujue mi nilikaa nasubiri uniambie kule nikashangaa kimya.
Afu wala hukunitafuta na nilikuambia nina shida binafsi na wewe[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpaka muinterviewa akujulikana katokea wapi.
Tatizo ni fact[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh hata wewe swahibaaa[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hahaha nakuona nakuona
Looh wamenishinda hawa watu sio kwa vichambo vile
Hahaaaa. Dada inabidi tuwagawe kwa kweli.
Jamani jamani mbona mi sina tatizo na mtu.
Kapole kenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]shunie linamo sakayo nimewagawa bure watu mna vichambo nyie
[emoji137] [emoji137] [emoji144] [emoji144]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…