Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hiyo ni kweli hata kwa kuangalia uandishi unaweza kujua huyu wa kike au wa kiume sio lazima uwe moderator kujua hilolugha ya maandishi..au hati unaweza tambua huyu ni ke au me... ila inahitaji nguvu ya ziada
Sent using Jamii Forums mobile app