hahah ukhty bwana,akiandika maneno mengi either amefurah au amechukiaAchana na huyo muosha rungu mpenz
Jina lang zesh kama lilivyo hapo .....ni mzaliwa wa kilwa na ni mmatumbi original .....nimesoma kilwa na baadae dar o level mpk chuoTupe historia yako kwa ufupi
DJ sepetu
mkuu unataka tuliamshe kama bikira latifa na richaabra?
23 yrs oldUna miaka mingapi mtoto wa kimatumbi?
DJ sepetu
[emoji38] [emoji38] [emoji38] elimu yang ni diploma tu jomon ha haBado mdogo sana nimekuzid 2
Kiwango chako cha elimu kip
DJ sepetu
hutafuti mchumba?[emoji38] [emoji38] [emoji38] elimu yang ni diploma tu jomon ha ha
Personal secretaryUkumbuke Ku like
Fani gani hiyo dip
DJ sepetu
Salama mamyPoa kipenzi za wewe
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Mara paaaaa mrembo kaota mbawa
[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Sipendi kujichosha siwajuahahah ukhty bwana,akiandika maneno mengi either amefurah au amechukia
nataka kuvua na kufuga samaki katika kisima cha moyo wako[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kasoro mimi tuWarembo wako wengi ni vidume
Best una roho mbaya kweli,hata hatuambiani kumbe mambo tayari huku.Salama mamy