ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
Mie sijambo hof wew laazizi [emoji7]Uko poa lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sijambo hof wew laazizi [emoji7]Uko poa lakini
[emoji38] [emoji38]Huyo bibi harusi bado yupo Saloon tu.
Wa kwanza kuzaliwa ktk familia ya watoto wanneWewe ni mtoto wa ngapi kuzaliwa
DJ sepetu
Wape hai mabanda ya papa haponataka kuvua na kufuga samaki katika kisima cha moyo wako
Chura ipo?Yes mimi ni mdada
Bahati mbaya kuna mvuvi hodari alishafika kitambo akavua mpk mayai ya samakinataka kuvua na kufuga samaki katika kisima cha moyo wako
La haulaa chura bhana haipoChura ipo?
Shangazi naomba kesho nikufanyie interview mimi!Sipendi kujichosha siwajua
Me mzima sana dada akee [emoji8]Mie sijambo hof wew laazizi [emoji7]
Changamoto ni nyingi sidhani kama naweza zitaja hapa ila ndo hvyo nakabiliana nazo tuJe kuwa mziwanda kulikupa changamoto zipi!?
Na je ulizimudu vipi
DJ sepetu
[emoji32][emoji32][emoji32]......kama huna chura hutakiwi JF!!.....unalijua hilo???La haulaa chura bhana haipo
Ndio ninachokupendea ujue [emoji1][emoji1]Sipendi kujichosha siwajua
Aiseeh pole sana best ujue nilikuwa nasalimiana na shunie hata sijajua kama interview imeanza, am so sorry rafiki yangu [emoji6]Best una roho mbaya kweli,hata hatuambiani kumbe mambo tayari huku.
we jamaa unapenda likes balaazesh kumbuka kulike post zangu kabla ya kujibu ili zionekane haraka
DJ sepetu