Mrembo live interview on muosha rungu show

Elimu elimu!
zesh ulijiunga jf lini Na uliifahamu vipi!
Unajutia?
Nn kinaweza kukutoa jf

DJ sepetu
Nilijiunga 2014 lkn kwa ID nyingine sio hii ila nlikua sichangii chochote .....mwaka huu mwezi wa nne nikajiunga na ID hii nnayotumia mpk sasa.....
..sijutii kujiunga jf kiukweli ndiyo sehemu ambayo inanifanya niwe happy mda mwingi.....
Sidhani kama naweza toka jf labda ntakapoolewa mr akitaka nitoke nitatoka
 
mmmh mpaka mr aseme toka!
Nini unakifurahia zaidi humu of course nn kinakukera Na members wa aina gan you think need a change of behavior

DJ sepetu
 
Bahati mbaya kuna mvuvi hodari alishafika kitambo akavua mpk mayai ya samaki
hakuna bahati mbaya zote nzuri tu

ila msimu wa kutaga mayai utafika mie niko kwenye kingo za moyo wako nakusubiri niyatunze hayo mayai
 
mmmh mpaka mr aseme toka!
Nini unakifurahia zaidi humu of course nn kinakukera Na members wa aina gan you think need a change of behavior

DJ sepetu
Kinachonifanya nifurahi ni michango mbalimbali ktk mada zinazowasilishwa humu .......kinachonikera humu ni tabia ya baadhi ya members kufake jinsia ....kiukweli hawa watu wanatakiwa kubadilika
 
Wewe hujafeki oky
Please unaweza tupia Picha yako moja hapa!

DJ sepetu
 
Uwe unalike
Interview Hii inafuatiliwa Na maelfu ya members wa jf!
Members gani wa kike watatu wanakuvutia zaidi
Wa kiume 2

DJ sepetu
Miss chagga,rubi pamoja na numbisa.....
Member wakiume ni kikulachochako na joseverest
 
Kikulachochako ni mzee wa busara jose huyu alijificha juzjuz anakuvutia kwa lipi au kuwah Ku comment!?
Miss chagga why pesa!

Jose ananivutia ile tabia yake ya kuwahi siti ya mbele kila topic ...miss chagga ananivutia na kale ka tabia kake ka kupenda madolari
 
Madolari hebu niambie kuna mapenzi ya kweli jf!?
Kama ikiwa hujaolewa unaweza Ku date humu?Na nani labda couple gani unaikubali zaidi!?
Smart 911 and mohondaw
Shunie and Lee empire
Sakayo and Transcend

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom