Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Unajua mkuu hawa madem siku hiz wanatuchanganya sanamkuu unataka tuliamshe kama bikira latifa na richaabra?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mkuu hawa madem siku hiz wanatuchanganya sanamkuu unataka tuliamshe kama bikira latifa na richaabra?
Suala la mapenzi ya kweli sitaki kulisemea kwa kua hayajanikuta ....ila kudate na mwanaume wa humu hapana siwezi...Madolari hebu niambie kuna mapenzi ya kweli jf!?
Kama ikiwa hujaolewa unaweza Ku date humu?Na nani labda couple gani unaikubali zaidi!?
Smart 911 and mohondaw
Shunie and Lee empire
Sakayo and Transcend
DJ sepetu
Hahaha huwez Ku date hapa!!Suala la mapenzi ya kweli sitaki kulisemea kwa kua hayajanikuta ....ila kudate na mwanaume wa humu hapana siwezi...
Couple nnayoikubali ni ya the bold na niffah
Me nawachukulia hawako serious binafsi siwez tafuta mume humu ........mara moja moja tuHahaha huwez Ku date hapa!!
Je wale wanawake wanao tafuta wachumba humu unaongeleaje issue hiyo!?
Pm yako inatongozwa Mara ngapi kwa wiki let say!
DJ sepetu
Hahaha sasa ww ata akikupa utafanyia au umringishie sare sare maua[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji15][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8]Wa kiume nae mvutia ni mm na ww alishaniambiga
Kwa kulinda heshima zao siwez fanya hivyo samahanUlishapokea naamin sms za kukutaka upenzi pm right?
Kama mkweli weka hapa id 2 zilizokupa usumbufu sana pm
DJ sepetu
Nafanya kazi niliyosomeaHeshima!!!!
zesh unajishughulisha Na nn ktk utafutaji wa rizki!?
DJ sepetu
Hapana sijawah ombwa rushwa ya hvyo.....ps kua chakula cha boss au nyumba ndogo ile ni tabia mbaya tu ambayo baadhi yao inawatawala binafsi siamini ktk hilo ........Usecretary!!
Watu husema eti kuwa personal secretary ni sawa Na kuwa nyumba ndogo ya bosi kuna ukweli wowote?
Ulishaombwa rushwa ya aina yeyote hasa ya ngono ili kulinda au kupata ajira?
DJ sepetu
Ni kweli secretary lazima awe mzuri wa sura Na umbo?Hapana sijawah ombwa rushwa ya hvyo.....ps kua chakula cha boss au nyumba ndogo ile ni tabia mbaya tu ambayo baadhi yao inawatawala binafsi siamini ktk hilo ........
Mwenye sura yyte anaweza kua ps ili mradi tu awe amesomea fani hyo.....Ni kweli secretary lazima awe mzuri wa sura Na umbo?
Hebu nieleze muonekano wa zesh wa nje tu!
DJ sepetu
Hahaha mweupe namba 2 kama shunie!!!Mwenye sura yyte anaweza kua ps ili mradi tu awe amesomea fani hyo.....
Mwonekano wa zesh kwa nje ha ha ha ....ni kadogodogo sana yaani ukiniona unaweza hisi nasoma form one ......ni mwembamba....sio mrefu pia sio mfupi ni mweupe lakini sio namba moja....mimi ni mweupe namba mbili ha ha ha
Kipato hakiwezi kutosheleza .....najishughulisha na kilimo cha matikitiHahaha mweupe namba 2 kama shunie!!!
Eenhee kazi inakutosheleza kipato chako!!
Ili kuziba loopholes unafanya ujasiriamali?upi
DJ sepetu
Uuwi misimu miwili ayo mengine siwez andika sorryMatikiti aisee!!
Umelima misimu mingapi Na unalimia wapi!
Msimu wa mwisho ulipata net profit ya asilimia ngapi ya mtaji uliotumia!
DJ sepetu