Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nlianza na mtaji wa 150000 .....kwa hekal moja tu.....kilimo kinalipa ila inakubidi uwe mvumilivu......changamoto nyingiChangamoto ni zipi ktk kilimo cha tikiti ulianza Na tsh ngapi kama mtaji
Kilimo kimekusaidiaje kuwa financially free!
DJ sepetu
Unawaambia nn wasomi wenye vyeti ila hawana ajira!Nlianza na mtaji wa 150000 .....kwa hekal moja tu.....kilimo kinalipa ila inakubidi uwe mvumilivu......changamoto nyingi
Kwa kulinda heshima zao siwez fanya hivyo samahan
Karibu mgeni ngoja wakutoe kamba ya kuku mgeni!Mara paaapu nimekuta interview ipo online
daah kweli leo nyota imen'gaa maana huwa naishia kupitia makombo tu kila siku ,sasa leo mguu kwa mguu kupata mawili matatu kutoka kwa warembo wa jf ,
Habari zenu member wa muosha rungu show ,mimi member mpya kwenye nyuzi za interview nipokeeni jamani
ningoja apaKaribu mgeni ngoja wakutoe kamba ya kuku mgeni!
DJ sepetu
Napenda kuwaambia kwamba wasikate tamaa na wasidhani kwamba maisha yao ndo yameishia hapo ......watafute mitaji wajiajiri tu .....mtu hata kama una mtaji wa elfu 50 unaweza kuanza taratibu na mwisho wa siku ukawa millionea...kikubwa kua na nidhamu ya pesa. .....kupunguza matumizi yasiyo ya lazima hii itawasaidia....kubwa zaidi ni kumshirikisha mungu kwa yote watakayokua wanayafanya kuelekea ktk safari yao hyoUnawaambia nn wasomi wenye vyeti ila hawana ajira!
Je kila mtanzania hasa kijana ategemee kilimo
Kwa maoni yako fursa zipi zingine zenye manufaaa
DJ sepetu
nangoja apaKaribu mgeni ngoja wakutoe kamba ya kuku mgeni!
DJ sepetu
Good advice!Napenda kuwaambia kwamba wasikate tamaa na wasidhani kwamba maisha yao ndo yameishia hapo ......watafute mitaji wajiajiri tu .....mtu hata kama una mtaji wa elfu 50 unaweza kuanza taratibu na mwisho wa siku ukawa millionea...kikubwa kua na nidhamu ya pesa. .....kupunguza matumizi yasiyo ya lazima hii itawasaidia....kubwa zaidi ni kumshirikisha mungu kwa yote watakayokua wanayafanya kuelekea ktk safari yao hyo
Dadiyo nimechelewa kufika lol.Cc shunie emmyta interview inaanza huku[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Ha ha ha ha hili linaitwa swali lisilojulikana ...........form 4Good advice!
Hope una mpenz werevaa mume?
Ulianza mahusiano ya kikubwa ukiwa darasa la ngapi!?
DJ sepetu
Etiii. Kisa cha kukufanya usije wakati jf ya wote dada.Why Nisije
mkuu mi mgeni tu kuandikaMgeni kaona[emoji122] [emoji122]
DJ sepetu
Aiseeee. Nimecheka sana duuhJamani tupo muda mrefu sana vipi huyo muintaviwa mbona hafikiii????