Mrembo live interview on muosha rungu show

Mrembo live interview on muosha rungu show

Sex maofisini ipo...
...ofisini kwetu hapana....
Sijawahi kufanya...
Madhara ya kuchanganya mapenzi na kazi ni mengi ila kubwa ni kuharibu kazi
Katika maisha kuna kupata Na kukosa
Je una watoto
Wangapi


DJ sepetu
 
Sina mtoto hata mmoja na sina mpango wa kuzaa mpaka nitakapoolewa kwani sihitaji kuzaa nje ya ndoa
Kila la kheri inshallah!
Uijaze dunia Na hiv elimu bureee!!
Ni zawadi gani kubwa uliwahi pewa Na mchumba wako hiv karibuni?
Uliwahi toa nn kikubwa kumsaidia mtu tofaut na ndugu

DJ sepetu
 
Kila la kheri inshallah!
Uijaze dunia Na hiv elimu bureee!!
Ni zawadi gani kubwa uliwahi pewa Na mchumba wako hiv karibuni?
Uliwahi toa nn kikubwa kumsaidia mtu tofaut na ndugu

DJ sepetu
Zawadi siwezi itaja pia msaada nlotoa siwezi kuutaja sababu imani yangu inanikataza kufanya hvyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikikumbuka ile picha ujue nacheka sana jaman
Umesemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1504982641975.jpeg
 
Back
Top Bottom