Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Sina team mimi........kingine sipendi siasaSiasa!
Lowassa au magu
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina team mimi........kingine sipendi siasaSiasa!
Lowassa au magu
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuona unaishia kucheka aisee hivi carba hiyo picha my dear kuisave haijakutisha au ulikua unataka uendelee kucheka tu[emoji23][emoji23][emoji23]me kuongea siwezi et nikawa nafuatilia kimya kimya ila linamo hapana kanishinda lol
fanya hip hop mama nasi tujifunze kdogoIla Jf kuna wadada wanajisikiaaa mamaaaa utafikiri wahaendi choooni!???!
Unaniua mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Umesemaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 585221
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kaka nakuona unajiunga kwrnye shirika la wambea eee
Kwanza ningewezesha kutolewa kwa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake nchi nzima then ningewezesha uhamasishaji wa uundaji wa vikundi vya mikopo kwa wanawake nchi nzima halafu ningewapatia mikopoMaisha ni siasa bi dada!
Ungekuwa rais wa kwanza mwanamke Tanzania ungewafanyia nn wanawake wenzio kuwakomboa kiuchumi
DJ sepetu
Nasubiri niione hiyo sare[emoji28] [emoji28] [emoji28]Haha ha ngoj nivae sare ya kuchambia mtu kabisa
Naona umechukua siti yakoJina lake tafadhali
Napenda mchambo sijui kaniambukiza nani wallah sikuwa hivi atiiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] carba nae muoga kwa mbaliiii linamo na sakayo bana mpaka mwisho
Makinikia[emoji28] [emoji28] [emoji28]Hayo maswali unataka kuvumbua nini kwa mfano [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Kua mpole litajibiwaSwali langu halijajibiwa daaah
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona nilikuwa naenda mwendo wa kobe tu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]me kuongea siwezi et nikawa nafuatilia kimya kimya ila linamo hapana kanishinda lol
Poa poa!Kwanza ningewezesha kutolewa kwa elimu ya ujasiriamali kwa wanawake nchi nzima then ningewezesha uhamasishaji wa uundaji wa vikundi vya mikopo kwa wanawake nchi nzima halafu ningewapatia mikopo
Ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata wewe mwenyewe siamini kama ni Me.
Mwendo wa kobe lakini majibu yako yalimfanya akachukue ID nyingine aje kuongeza nguvu[emoji23][emoji23]Hahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbona nilikuwa naenda mwendo wa kobe tu[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Ni kweli hali ngumu .....Poa poa!
Hali ngumu ya maisha imekushamiri kipindi hiki cha magufuli! Je ni kweli
Nini kifanyike ili kurahisisha Haya maisha
DJ sepetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaniua mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]namkumbusha shunie picha yakeUnaniua mbavu zangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]