Mrembo live interview on muosha rungu show

Mrembo live interview on muosha rungu show

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuona unaishia kucheka aisee hivi carba hiyo picha my dear kuisave haijakutisha au ulikua unataka uendelee kucheka tu
Yaani kila nikiiangalia naishia kucheka pekeyangu kama chizi mana si kwa kupanic kule akaja na ID nyingine[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni kweli hali ngumu .....
Serikali ijitahidi kutoa elimu ya ujasiriamali na pia itoe mikopo kwa vijana ili waweze kua wajasiriamali
Unapenda music!?
Uliwahi kwenda night club!?
Unavutiwa na music wa wasanii gani ndan na nje

DJ sepetu
 
Unapenda music!?
Uliwahi kwenda night club!?
Unavutiwa na music wa wasanii gani ndan na nje

DJ sepetu
Napenda kusikiliza music ila sijawahi kwenda night club pia sipendi kwenda club .......me napenda mziki mzuri sijali nani kaimba mziki ukiwa mzuri basi naupenda hyo ni ndani na nje
 
Napenda kusikiliza music ila sijawahi kwenda night club pia sipendi kwenda club .......me napenda mziki mzuri sijali nani kaimba mziki ukiwa mzuri basi naupenda hyo ni ndani na nje
Utamaduni,
Kwann unahisi maadili yanaporomoka sana ktk jamii?
Wewe kama PS kuvaa nguo fupi unakuchukuliaje
Unaweza chora tattoo ya mpenzi wako!?
Sehemu gani ktk body yako?

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom