Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Mimi nilishaitwa Shunnie.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukishakuwa member wa Jf tambua kabisa jinsia yako inabadilika muda wowote.
Akaona haitoshi baada ya dk 5 nikawa dume la mbegu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jf sihami labda ibebwe na mafuriko au kimbunga