Mrembo live interview on muosha rungu show

Mrembo live interview on muosha rungu show

Ewaaaaaa anataka tumpe ruhusa atutajie anasema tulikuwa nae kwenye uzi wa husna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawaza tu ni naniii mana sergio sio ndio nilikua nae kwa huyo mtu nilimkuta
Ataje tu hakuna tatizo[emoji23] [emoji23]
Kwani sikuhizi sisi tunatoa permit[emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Yameisha Dada mimi na wewe ni kitu kimoja
35e01794889c2befcbcebe77fc170ba0.jpg


Sent from my iDevice using Tapatalk
Ndiyo maana nazidi kukupenda kadiri dunia inavyozidi kubadilikaaa, ahsante kwa msamaha wakooo najutia kosa langu nakuahidi kuwa Dada bora nasiyo Dada bohoraaa[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji125]
 
Back
Top Bottom