Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

Unataaluma gani!
Vipi mapenzi kwako yana nafasi gani Na vipi unahakikisha mpenzi hakuachi
........
moyo wa MTU kichaka ikitokea akaniacha Wenda akajuta maisha .yake yote.
Wenda asimpate mwanamke anaempenda kama mm, anaemuheshimu kama mm, anaemjari kama mm, anaemuombea mazuri kama mm, anaependa ndugu zake kama mm, ambae hamsariti, msafi, najua kupika mcha mungu. in short najitambua,
 
We mrembo ulishawahi kupigwa mikofi na huyo six pack wako.?

mburaaaaaaa hii siku sitoisahau, for sure nilikosea mm. na sidhani kama alikuwa anajitambua. nilivuta mdomo hapa na shell ingawa wengine hawakujua kilichotokea.

nahisi baada ya sekunde alijua kanikosea haya ni maneno aliyoyasema ," sweetheart am very sorry sijawahi kufanya hiki kitu kwa mwanamke yoyete plz forgive me." kwakuwa mm ndo nilikuwa Nina kosa nikasamehe.
 
Wewe unadhani nini kifanyike kuzuia michepuko ambayo madhara yake ni mengi.
Uliwahi chepuka kwa bahati mbaya?
 
Wewe unadhani nini kifanyike kuzuia michepuko ambayo madhara yake ni mengi.
Uliwahi chepuka kwa bahati mbaya?

nikiingia kwenye mahusiano nahakikisha sina kipolo nyuma. so nikiamua kuwa na mtu basi ni huyo peke yake hence sijawahi kuchepuka hata kwa bahati mbaya.

kuhusu kuchepuka hili lina changamoto, mm nadhani kama MTU anakupenda na kukuheshimu hawezi chepuka. mfano mm hata mwaka namaliza bila bila.

kingine tusiwe na tabia ya kulinganisha wapenzi Mara yule alikuwa hivi sasa huyu yuko hivi hii kitu sio kizuri kwenye mahusiano.
 
Swali 3:
(3a)kwanini upo slow kujibu maswali?
(3b)Na kwanini hukusema mda mwingine wakati muda huu ulijua utafanya hicho kitu ulichonijibu katika swali 3a.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…