Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

Hahaha
Unapenda
Kuchangamana
Na
Watu
Wa
Aina
Gani
Hahaha
Unapenda
Kuchangamana
Na
Watu
Wa
Aina
Gani

MTU yeyote so long as awe tiyari. yaan kama hapa jf yaan nasikia raha maana jf ni zaidi ya watu ninaoishi nao huku mtaani.

lakini huku mtaani sina kampan ya ajabu ajabu, ni mashoga zangu tu ambao tuna share maisha.

lakini pia watu wazima hasa wamama yaan wananipenda sana may be ni kutokana na biashara ninayoifanya tofauti na kazi yangu.

Nina uchangamfu Fulani kwa kila MTU sibagui.

Niko tofauti tu kwenye mahusiano.
 
Sex for money or sex for love,?
Fedha kwako ina nafasi ktk love!
Ulishawahi toza sex
 
Sex for money or sex for love,?
Fedha kwako ina nafasi ktk love!
Ulishawahi toza sex
sex for love.

NOTE: mapenzi na pesa ni mapacha.huwezi kuvitenganisha. ndo maana wanasemaga MTU kama huna pesa hasa mwanaume huwezi kuwa genye haswaaa.

mm sijawahi toza MTU pesa for sex, kwanza sijawahi kuomba pesa kutoka kwa mwanaume yeyote. nasubiri nipewe. na huwa napewa bila kuomba.

ila pesa tamu hana huu ndo ukweli.

kuingia kwenye mahusiano na MTU ambae unampenda inatugharimu sana sisi wanawake maana huwezi kumuomba kama like jitu ambalo hupendi yaan ni shida. inatuumaga sana
 
Katika mapenzi ni tabia zipi za kiume huzitaki kuzisikia!?

Vigezo vipi unatumia kumnyima papuchi Ally Na kumpa kelvin?
 
kwa kweli hizi tabia zikafie mbele.

-cheating
-kuwa busy sana- mawasiliano mabaya mwanaume hujifanya busy utafikiri wanaumba dunia mfyuuuuuuuu!
-kuwa na mawasiliano na mi ex yenu inatuboa sana njuwe!
-
 
Punguza wivu[emoji23] [emoji23]
Umesema wewe muhenga!
Kwanini umejivuta sana kuolewa?
Unaogopa!
Je ni kweli kuwa mapenzi hupungua sana baada ya ndoa?kwanini
 
Back
Top Bottom