Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

Malezi Na makuzi yepi toka utoton
Ambayo ungependa kuwaridhisha wanao!
Na yepi ambayo uliyaona yana walakini!

yaan watoto wangu watakuwa na heshima kama mm nilivyolelewa. lazima niwe mkali kwa watoto hivi ninavyoviona vya kisasa mtoto anasalimia wakubwa amesisimama kama minala ya voda hapana. ninacho kufanya mm lazima wafanye.

mtoto anakuletea kitu anakutupia "hicho hapo" afu anasepa? kha! mm na uzee huu napinda goti hadi chini sembuse mtoto kha!
 
Tathimini yako ya utawala Wa awamu huu Na awamu ya kikwete imekaaje ukiangazia kiuchumi zaidi?
 
Tathimini yako ya utawala Wa awamu huu Na awamu ya kikwete imekaaje ukiangazia kiuchumi zaidi?
awam ya kiketwe uchumi ulikuwa mzuri, been nafisi biashara yangu ilienda vizuri.

sasa hivi uchumi sio mzuri watu wanalia njaa.

oder zimepungua si kama zamani.

sasa nakiuliza kama wanabana matumizi pesa inaenda WAP?? mbona hakuna mzunguko? hii ni awamu ya ovyo ambayo haijawahi tokea.

kwa watu waliozoea ajira tu yali ni ngumu
 
Ukipewa nafasi aliyonayo Magufuli utafanya nn cha tofauti?
Tanzania ni tajiri ila watu wake ni maskini,kwanini
 
Sasa usitudie tena. Ukirudia hata msamaha sitaomba [emoji4] [emoji4]
 
Ukipewa nafasi aliyonayo Magufuli utafanya nn cha tofauti?
Tanzania ni tajiri ila watu wake ni maskini,kwanini
mambo ya ajabu abayafanya siwezi, MTU utanunuaje mi ndege wakati watu wanakufa.njaa??

hii pesa ya kutafuta vmisifa isokuwa na tija naelekeza vijijini watu wanapata Maji na umeme, pia naboresha elimu na afya.

nitaruhusu katiba mpya, Uhuru wa kuongea na mikutano ya kisiasa, Uhuru wa habari na mengine. maana MTU kama Unajiamini iweje uweke vikwazo??
 
Huu ndo upuuzi wenu uwaga wote mnaamini eti mwanaume akikuacha hawezi kupata kama wewe...kama kuna kitu inabidi uwe mpole kbs ni kuhusu swala la kujihesabia haki kwenye mahusiano....achana nazo kbs...unaweza achwa na bado watu wakapata bora zaidi yako maana ubora wa mtu umetofautiana ni km uzuri tu...mi naweza kukuona mzuri mwingine akakuona kituko...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…