1. sipendi MTU tunikalipia au kunifokea mbele ya watu. napenda nikikosa MTU anitute ndani achambee atakavyojisikia hapo nanywea lama UA la kiangaziLuckyline upi ni udhaifu wako mkuu Na strength zako ni nn
ulikuwa wapi ww walikusubiri sanaInterview imepooza balaa..wale wa amsha amsha hawapo?
Nilikuwepo majukwaa mengine tu aiseeulikuwa wapi ww walikusubiri sana
Huu ndo upuuzi wenu uwaga wote mnaamini eti mwanaume akikuacha hawezi kupata kama wewe...kama kuna kitu inabidi uwe mpole kbs ni kuhusu swala la kujihesabia haki kwenye mahusiano....achana nazo kbs...unaweza achwa na bado watu wakapata bora zaidi yako maana ubora wa mtu umetofautiana ni km uzuri tu...mi naweza kukuona mzuri mwingine akakuona kituko...
Point ni kuona kwamba eti hawezi pata mwingine...nime date wanawake wengi ila wote wana mindset eti ukiniacha huwezi pata kama mimi wakati mimi nikiangalia naona kbs hivo vitu anavyojivunia ni vyakuhesabika...muache kujifariji ujinga..thamani yako ni yako ilinde ila usiwe wimbo kwa mpenzi wako...as time goes muache yeye agundue mwenyewe unathamani kiasi gani...naheshimu mawazo yako uamuzi ni wake akiamua Ku log off na maisha yanaendelea. kwani nazaliwa nae??
napambana na hali yangu. kushindana na we we siweziPoint ni kuona kwamba eti hawezi pata mwingine...nime date wanawake wengi ila wote wana mindset eti ukiniacha huwezi pata kama mimi wakati mimi nikiangalia naona kbs hivo vitu anavyojivunia ni vyakuhesabika...muache kujifariji ujinga..thamani yako ni yako ilinde ila usiwe wimbo kwa mpenzi wako...as time goes muache yeye agundue mwenyewe unathamani kiasi gani...
Nimefika jap nimechelewa shukran kakNgoja niwaite.
Numbisa
emmyta
Shunie
Ukhuty
Carba
Linamo
Sakayo
MBITIYAZA
Neybright
Etc..
Point ni kuona kwamba eti hawezi pata mwingine...nime date wanawake wengi ila wote wana mindset eti ukiniacha huwezi pata kama mimi wakati mimi nikiangalia naona kbs hivo vitu anavyojivunia ni vyakuhesabika...muache kujifariji ujinga..thamani yako ni yako ilinde ila usiwe wimbo kwa mpenzi wako...as time goes muache yeye agundue mwenyewe unathamani kiasi gani...
Huu ndo upuuzi wenu uwaga wote mnaamini eti mwanaume akikuacha hawezi kupata kama wewe...kama kuna kitu inabidi uwe mpole kbs ni kuhusu swala la kujihesabia haki kwenye mahusiano....achana nazo kbs...unaweza achwa na bado watu wakapata bora zaidi yako maana ubora wa mtu umetofautiana ni km uzuri tu...mi naweza kukuona mzuri mwingine akakuona kituko...
Duh humu JF kila mwanamke ana super man sisi wachovu tutaambulia wachumba kweli humu?!