Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

Luckyline upi ni udhaifu wako mkuu Na strength zako ni nn
1. sipendi MTU tunikalipia au kunifokea mbele ya watu. napenda nikikosa MTU anitute ndani achambee atakavyojisikia hapo nanywea lama UA la kiangazi

2. Niko emotional yaan Nina machozi ya karibu, hata nikiona kitu kwenye TV cuenye uzuni najituta nalia.

3 kwa upande mwingine, najiamini hasa kwenye maamuzi, huruma etc.

4. sinuni hovyo hata nikinuna siwezi muonesha mlengwa hadharan ila watu wakitoka moto ni ule ule.
 
Huu ndo upuuzi wenu uwaga wote mnaamini eti mwanaume akikuacha hawezi kupata kama wewe...kama kuna kitu inabidi uwe mpole kbs ni kuhusu swala la kujihesabia haki kwenye mahusiano....achana nazo kbs...unaweza achwa na bado watu wakapata bora zaidi yako maana ubora wa mtu umetofautiana ni km uzuri tu...mi naweza kukuona mzuri mwingine akakuona kituko...

naheshimu mawazo yako uamuzi ni wake akiamua Ku log off na maisha yanaendelea. kwani nazaliwa nae??
 
Point ni kuona kwamba eti hawezi pata mwingine...nime date wanawake wengi ila wote wana mindset eti ukiniacha huwezi pata kama mimi wakati mimi nikiangalia naona kbs hivo vitu anavyojivunia ni vyakuhesabika...muache kujifariji ujinga..thamani yako ni yako ilinde ila usiwe wimbo kwa mpenzi wako...as time goes muache yeye agundue mwenyewe unathamani kiasi gani...
 
napambana na hali yangu. kushindana na we we siwezi
 
Kweli kabisa.
Point ni kuona kwamba eti hawezi pata mwingine...nime date wanawake wengi ila wote wana mindset eti ukiniacha huwezi pata kama mimi wakati mimi nikiangalia naona kbs hivo vitu anavyojivunia ni vyakuhesabika...muache kujifariji ujinga..thamani yako ni yako ilinde ila usiwe wimbo kwa mpenzi wako...as time goes muache yeye agundue mwenyewe unathamani kiasi gani...
 
True fact

Back
Top Bottom