Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kumwagilia moyo huku kwa pembeni akiwepo mrembo machachari mwenye umbo namba nane, na mwenye rangi ya chungwa; kunanogesha sana uwepo wa kuwa hapa duniani.
Natamani kwa leo, ajitokeze mrembo mwenye hizo sifa, tukaoshe oshe macho huko mtaani; kama upo nyoosha mkono juu.
Natamani kwa leo, ajitokeze mrembo mwenye hizo sifa, tukaoshe oshe macho huko mtaani; kama upo nyoosha mkono juu.