AK-47
JF-Expert Member
- Nov 12, 2009
- 1,373
- 202
Ur rightHuyo mnembo mbona anaonesha ana "safura" duuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ur rightHuyo mnembo mbona anaonesha ana "safura" duuuuuuu
Itabidi itafutwe maana nyingine ya neno "Mrembo"...
Mdomo wake kama chuchunge sijui ni mkwere?anaonekana anaongea sana huyu duh
Mrembo ni demu yoyote mwenye uwezo wa kurembua na kuwazingua masela
ha ha haaa ila dento fomyula yake imekaa vema kama co panya vile[/QUOTE]
mmh...nilidhani wewe ndio unayejua vyema kuwa binadamu wote ni mfano wa mungu.
haya bwana...
Mademu wa ongo hapo ndipo wananifurahisha wanasubiri upate status fulani ndio waanze sasa kujisogeza
Duuuuuuuuu sura kama goti......! Mjomba au kalilupa tigo ndio maana ukakapa miss pwani? Huyu kweli ni MKWERE original.