wambagusta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 2,825
- 2,292
Duh wabongo ! Ha ha ha haMbona namba ni za Sauzi? Aweke za Tz ndo tutaamini otherwise ni Ze kiki at work
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh wabongo ! Ha ha ha haMbona namba ni za Sauzi? Aweke za Tz ndo tutaamini otherwise ni Ze kiki at work
Tena pimbi kabisa.Huyu tulikuwa tunamuangalia wkt ule club asset na kundi lake wakisasambua
Ila huyu mshamba anamuona mpya Hahaha
Ova
Mimi hua nafurahi sana nikiona hawa mastar wanagombania hivi vibibi. Manake wanatupa nafasi sisi kajambanani tunajitafunia vitu vikali vya UDSM, CBE, IFM na viunga vya mitaani kiulaini kabisa bila competition kubwa. Imagine hawa ma star wangepata akili ya kuja mitaani sisi si tungerudi kwa mabeki tatu..?😀Huyu tulikuwa tunamuangalia wkt ule club asset na kundi lake wakisasambua
Ila huyu mshamba anamuona mpya Hahaha
Ova
🤣🤣🤣🤣 9.8ms squared OiiiiiiiiiMimi hua nafurahi sana nikiona hawa mastar wanagombania hivi vibibi. Manake wanatupa nafasi sisi kajambanani tunajitafunia vitu vikali vya UDSM, CBE, IFM na viunga vya mitaani kiulaini kabisa bila competition kubwa. Imagine hawa ma star wangepata akili ya kuja mitaani sisi si tungerudi kwa mabeki tatu..?😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] khaaahnilianza kumuona mapema,
enzi za mabanda ya sinema,
alikuwa ni rafiki wa wema,
she's so beautiful
au mujini nimechelewa mbona wanamponda wanamuita bibi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] nyie watu hapa sio FB khaaah.Mkuu harmonize nyumba yake huko mbezi beach inakaribia kukamilika na itazinduliwa huu mwaka imemgharimu 2.2 billions za kitanzania
Alikuwa mbeba poch wa wema, million kumi zilimshinda za kujitoa lupango, bila ya wema angeozea lupango, wema fala siku hizi, wajanja wao wanaenda uturuki ovyoovyo, hata shukurani ya kinafik kwa wema wamekosa.nilianza kumuona mapema,
enzi za mabanda ya sinema,
alikuwa ni rafiki wa wema,
she's so beautiful
au mujini nimechelewa mbona wanamponda wanamuita bibi
Shido wani no badeeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shido shido shido wanobaleeeeeeee