Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kwa hiyo mpaka leo hujui hata uliyokuwa uanayasoma maana ilikua ni mteremko tu[emoji23][emoji23]Ticha alikuwa na mshiko alafu nilikuwa sio msomaji hivyo mambo kwangu yalikuwa mteremko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Ila nashukuru mods wana akili sana. Ndio mana wakaufutaEwaaaaaaaa
Shogaangu ukitaka kujua utamu wangu upo vipi nipe namba ya mmeo kama hutaachikaNa kiuno chote hicho pamaja na mauno ya kizaramo na huwezi kuachwa lakin bado hujaona mwanaume wa kukuoa,au atoke unataka aatoke sayari ya nne
Kwa hiyo cheti hicho cha diploma ni cha kikanjanja!!?Ticha alikuwa na mshiko alafu nilikuwa sio msomaji hivyo mambo kwangu yalikuwa mteremko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilivyoona umesema sa mbili ni mambo ya kwa sita kwa sita nilijua umeolewa mamyBado sijaona mwanaume wa kuniowa
Mim mme sina labda nije mwenyewe [emoji14]Shogaangu ukitaka kujua utamu wangu upo vipi nipe namba ya mmeo kama hutaachika
Sent using Jamii Forums mobile app
Mods wazuri sana hawachelewi wala hawawai[emoji1][emoji1]Hahaaaa. Ila nashukuru mods wana akili sana. Ndio mana wakaufuta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shogaangu ukitaka kujua utamu wangu upo vipi nipe namba ya mmeo kama hutaachika
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo mpaka leo hujui hata uliyokuwa uanayasoma maana ilikua ni mteremko tu[emoji23][emoji23]
Usinichambe shoga angu nisije paliwa
Mwalimu mwenyewe alikuwa kijana tu... na cheti changu hakiwezi kuwa cha kiukanjanja kwa sababu nimekitolea jasho babueeeeKwa hiyo cheti hicho cha diploma ni cha kikanjanja!!?
Mwalimu alikuwa Na mke?
DJ sepetu
Mimi nipo apa toka mwanzo [emoji1][emoji1][emoji1] sit ya mbele kabisa
Ajaribu sumu kwa kuionja siyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shogaangu ukitaka kujua utamu wangu upo vipi nipe namba ya mmeo kama hutaachika
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha a a a a a a a aMim mme sina labda nije mwenyewe [emoji14]
Nyumba choo wamesema vijana wa siku hizi. Na kweli nakuona uani mambo si haba!
Nakujua vile huchelewagiMimi nipo apa toka mwanzo [emoji1][emoji1][emoji1] sit ya mbele kabisa
Aki tena Geniveros ni zilipendwa ahahajMimi nipo apa toka mwanzo [emoji1][emoji1][emoji1] sit ya mbele kabisa
Heheiyaaaaaa Mnafiki kafungua darasa wambea nendeni mkasome!!! HalloooooooooNilivyoona umesema sa mbili ni mambo ya kwa sita kwa sita nilijua umeolewa mamy