Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kwa hiyo mpaka leo hujui hata uliyokuwa uanayasoma maana ilikua ni mteremko tu[emoji23][emoji23]Ticha alikuwa na mshiko alafu nilikuwa sio msomaji hivyo mambo kwangu yalikuwa mteremko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usinichambe shoga angu nisije paliwa