Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Nna shoga angu ni mzuri ana umbo +kishundu aliachwa na mwanaume akaenda oa mwanamke mbaya na haeleweki mpaka leo yupo nae ,wanaume sio watu wa mchezo mchezo
Hahaaaa watu hawaoi makalio wanaoa akili[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Makalio kwa ajili ya starehe tu lakini mwanamke wa kufanya naye maisha ni mwanamke anayeitumia akili yake vizuri.
 
Hahaaaa watu hawaoi makalio wanaoa akili[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Makalio kwa ajili ya starehe tu lakini mwanamke wa kufanya naye maisha ni mwanamke anayeitumia akili yake vizuri.
Heheeeeeeeee maneno ya mfa maji hayo
 
Full maujuzi yani na hawajuani yaani ngoma droo

Mwanamke ni lazima uwe na mwaname six pack na mwanaume pesa
Six pack inaongeza nn ktk mapenzi [emoji23] [emoji23] Una ndoto ya kuolewa!?
Lini!
Utaheshimu ndoa!

DJ sepetu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…