richaabra
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 1,472
- 3,511
Sisi wanawake huwa hatueleweki na ndio maana tunawashauri wanaume mfanye kazi na mazoezi mfanye cz kila kitu tunatakaSix pack inaongeza nn ktk mapenzi [emoji23] [emoji23] Una ndoto ya kuolewa!?
Lini!
Utaheshimu ndoa!
DJ sepetu
Wa kuniowa sijamuona
Sent using Jamii Forums mobile app