Hata mm sijaelewaEtieon ndo nani fafanua hata kidogo basi
Cuzoo sijaelewa hebu nielewesheKwahiyo alikua na I'd mbili au
Navyopenda ubuyu mpaka presha inapanda mwambie basi aharakisheHata mm sijaelewa
Funguka habari nusu nusu sizielewagiKwa taarifa niliyothibitisha kumbe thebosslady ndie etieno amekula ban!
DJ sepetu
Hahaaaaaa nakugawaga wallahNavyopenda ubuyu mpaka presha inapanda mwambie basi aharakishe
Na beseni la kukingia mapovuYani ngoja nikuandalie maji kabisaaaaa[emoji38]
Fafanua pleaseYes ni Erick etieno ndivyo inavyosoma hata pm zake sasa baada ya mods kuunganisha id zake
DJ sepetu
Kheeeeeee hii kali kwahiyo jina la husna ndio bye bye ndio mana alikua anawatukana watu kuwa wana i'd mbili mbili josse wa watu mpaka nilimuonea huruma aisee mods buana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Yes ni Erick etieno ndivyo inavyosoma hata pm zake sasa baada ya mods kuunganisha id zake
DJ sepetu
Mapovu ruksa ila yasiwe ya sabuni ya mkopo[emoji28] [emoji28]Na beseni la kukingia mapovu
Siyo wote tunapenda mimavi ujueWanatoka huko kwenye miku,, ya magasho halaf mnakuja tena kwetu ,wanauke hamtoiona pepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo upande niliomkia una nyege sana ndio maana nimeshindwa chagua nimeona richaabra ananifaa jomonieHahaaaaaa nakugawaga wallah
Kuna mdada husna the boss lady sijui Jana alikua anamtukana muosha rungu we ni shunie akamtukana na josseverest anatumia i'd nyingine kumbe yeye ndio ana i'd mbili tena ni mwanaumeCuzoo sijaelewa hebu nieleweshe
Ahahahhaha ameshaelezeaNavyopenda ubuyu mpaka presha inapanda mwambie basi aharakishe
So husna the bosslady ana id mbili? ?Kheeeeeee hii kali kwahiyo jina la husna ndio bye bye ndio mana alikua anawatukana watu kuwa wana i'd mbili mbili josse wa watu mpaka nilimuonea huruma aisee mods buana [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wambea bhanaFunguka habari nusu nusu sizielewagi
Hahaaaaaa utapasuliwa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo upande niliomkia una nyege sana ndio maana nimeshindwa chagua nimeona richaabra ananifaa jomonie