Uzi umefutwaTupe link ya huo uzi Aliokua anawatukanaa ..
Huo uzi umefutwa?Ila nawe nilikuonea huruma ulivyokua unaambiwa shunie [emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaaaaa wakamle ki. ...ga wallah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwapatiii picha wanaume wa jf huko pm hiz ni habari mbaya sana kwao usikute na hela wameshatuma
Nilikuambia unayaona haya wanaume sioHahaaaaa wakamle ki. ...ga wallah
Ungeniita mie nikakusaidia nikanunua kesiMbona uliuchuna au ulipenda[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Kweli aiseee hawafai hata kidogooooNilikuambia unayaona haya wanaume sio
Halaf huyo erick otieno ni member wa mda sijui kwa nini aliamua kufanya hiviHahaaaaa wakamle ki. ...ga wallah
Smart911 wa mahondawNdio nilikuta anaambiwa hivyo na husna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na josseverest sijui aliambiwa nani
Umefutwa mama ulikua jukwaa la malalamiko walikua wanatia huruma na josseverst mpaka jose alikimbiaHuo uzi umefutwa?
Aiseeee pole sanaSmart911 wa mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume wamebaki wachache sanaNilikuambia unayaona haya wanaume sio
Jf raha sana, si alisema ana bwana humu anaitwa reddevil..Uzi umefutwa
Hapana nilireport kwa modsMbona uliuchuna au ulipenda[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Ati umesema??? Nitoe gizani dada sijakusoma eti nanii??Kuna mdada husna the boss lady sijui Jana alikua anamtukana muosha rungu we ni shunie akamtukana na josseverest anatumia i'd nyingine kumbe yeye ndio ana i'd mbili tena ni mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Smart911 wa mahondaw
Tumemkimbiza atarudi yule atupe vichamboNahisi mmemkimbiza richaabra!
DJ sepetu