Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Ndio hivyo kufeki maisha ya nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yeye ndio kaka dada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio hivyo kufeki maisha ya nini sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe yeye ndio kaka dada
Woiii....wacha nishangae kichaga.Kuna mdada husna the boss lady sijui Jana alikua anamtukana muosha rungu we ni shunie akamtukana na josseverest anatumia i'd nyingine kumbe yeye ndio ana i'd mbili tena ni mwanaume
He eee!kumbeee?!Kuna mdada husna the boss lady sijui Jana alikua anamtukana muosha rungu we ni shunie akamtukana na josseverest anatumia i'd nyingine kumbe yeye ndio ana i'd mbili tena ni mwanaume
mama weeeeee?? Faida ya kufekisha ni ipiNdio hivyo kaka i'd yake imeunganishwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nimeamini ujue ukimsema mwenzio vibaya we ndio unavifanyaAtakuwa kakadada
Muosha rungu kumbe ulikuwa unamuintaviu DUME JIKE BILA KUJUA?[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Hata sijui kwa faida ipi au kuna vitu anapataNdio hivyo kufeki maisha ya nini sasa
Huyo huyo mamyWoiii....wacha nishangae kichaga.
Huyu boss lady si ndo alifanyiwa interview sikumoja akawa na mashauzi mengiii... anajidai mtoto wa kishua?
Kumbe ni dume, makubwa wallah watu wanajua ku fake
Shangaa tu ndugu
Kwa kweli vituko haviishiWoiii....wacha nishangae kichaga.
Huyu boss lady si ndo alifanyiwa interview sikumoja akawa na mashauzi mengiii... anajidai mtoto wa kishua?
Kumbe ni dume, makubwa wallah watu wanajua ku fake
Mzaramo hawezi kimbia itakuwa anamsuka mtu,,mpaka tuzimie ndio atatuwachaTumemkimbiza atarudi yule atupe vichambo
Nahuja na mbiti sijaelewa
Ukifutwa huwezi upataNipeni title ya uzi nikatafte nitajua naupataje..
[emoji6] [emoji6] [emoji6] dunia simama nishuke niende sayari ya marsShangaa tu ndugu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena amsuka mtu yebo yebo ngoja arudiMzaramo hawezi kimbia itakuwa anamsuka mtu,,mpaka tuzimie ndio atatuwacha
Ubuyu muhimu kuliko hii interview yako my
UmejuajeNahuja/Chikira mtabari na Mbiti ni vidume haswaa..
Anarudi jamaan richaabra si unajua haogopi mtu