Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Huyo huyo mamy
Ndo mana kwenye maelezo yake alikua anajichanganya mara alitolewa bikra na mwl wake mara sijui msouth arfrica... yaan nilipogundua hii ni chai nikaacha na kufatilia interview.

Ila anakipaji cha uongo na majibu yakebehi staki kuamin kuna mwanaume wa vile...ngachoka maee
 
Na yale mashauzi sasa unajiuliza huyu anakanyaga chini kweli [emoji1][emoji1] jana aliwatukana sana josseverest na muosha rungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom