Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Ahahahaha najuta kwanini jana sikuingia kitafuta maubuyuNilisingiziwa huwezi kuamini eti mimi ndio Smart911 yule wa mahondaw
Sent from my iDevice using Tapatalk
Huyu hajakimbia akirudi anatupa vichambo[emoji1][emoji1]Mmemkimbiza mwenye intavyuu yake mjue[emoji23][emoji23][emoji23]
Mana si kwa comment hizi lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ahahahaha najuta kwanini jana sikuingia kitafuta maubuyu
Mtachambwa hadi mjute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu hajakimbia akirudi anatupa vichambo[emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anatuchamba kweliMtachambwa hadi mjute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja niende kwa erik kwanza narudi huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na anatuchamba kweli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa kakadada
Jina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
ulichelewa ule uzi wameufutaAhahahaha najuta kwanini jana sikuingia kitafuta maubuyu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja niende kwa erik kwanza narudi huku[emoji23][emoji23]
Shauri yako picha hiyo kuna mwingine kakamatwa ni dume lakin humu ndani ni husna the bossladyThis is killing me![emoji32][emoji32][emoji32]
Usimtishe mzee wa chura bhana[emoji23] [emoji23]Shauri yako picha hiyo kuna mwingine kakamatwa ni dume lakin humu ndani ni husna the bosslady
Leo nimeshikwa pabaya kwa sababu siyo kwa chura hilo!!
Naomba na mimi niwe miongoni mwa hao wapenzi my dear kwa sababu napenda chura kweli kweli!!Sina mpenzi nna wapenzi cuz wanaume wa sasa hamuaminiki full michepuko hivyo nilazuma tuende sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahhahaa hawezi kuelewa akiona chura akili zinamrukaKaka nimekoma kufuarilia madem humuu ni noumaa