Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Mambo ya wataalam kwa mtoto wa kizaramo ni kawaidaaa babuu

Mapenzi bila mtaalam hayaendi lazima umteke mme wa mtu hadi akifika kwake haioni nyumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] mume Wa mtu!
Kwa iman ya kabila lako ruksa !?
Huoni kuwa unaharibu ndoa ya mwanamke mwenzio!?
Kwann unawapenda kiasi cha kuwaendea kwa mganga je hujiamini?

DJ sepetu
 
Mambo ya wataalam kwa mtoto wa kizaramo ni kawaidaaa babuu

Mapenzi bila mtaalam hayaendi lazima umteke mme wa mtu hadi akifika kwake haioni nyumba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] Kichambo sitakiiii richa nashangaa tu mimi ila ujue tu what goes around always comes around
Unaambiwa mme wakwako peke yako hayupo[emoji108] [emoji108]

Ukitaka wako kakate mgomba uufungie ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna mtoto
Labda ukipata mtoto je utapenda wanao wateseke?
Vip kama baba yao katekwa Na mwanamke Wa kando!?
Ukijua utafanyaje kwa mfano

DJ sepetu
Siwezi penda wanangu wateseke

Na atakayenichukulia mme wangu atakuwa kajikomoa mwenyewe tu kwasababu mi mwenyewe mechi za nnje kama kawa so tutakuwa,tunasaidiana majukumu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa dj wanawake wa jf hawajui mapenzi jomon nikianza kutaja stail na mautundu yangu wataiga hapa
Si ndio vizuri richaabra! waimalishe ndoa zao!
Ulishawahi mtongoza mwanaume?mwanaume domo zege ulishakutana nao!?
Kati ya mwanaume maskin ila anakupenda Na tajir ila hakupendi bora yupi

Yeah nilishawahi kumtongoza mwanaume but kipindi sihayajua mapenzi

Wanaume madomo zege ndio nawapendaga maana wao hawanaga maneno mengi wao ni pesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaaaa dj wanawake wa jf hawajui mapenzi jomon nikianza kutaja stail na mautundu yangu wataiga hapa
NATANGULIZA SAMAHANI KWA HAYA MASWALI TAFADHALI

Richabra kuna huu uzi WAKO hapa

Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

Unasema wewe ulikuwa ni wa kiume?? ulimtoa bikira binamu yako?? ni kweli?? Halafu vipi mbona watu baada ya kukusakama kwenye ule uzi ukaufuta??

Huku umekuwa mwanamke,? Mbona kwenye huo uzi ulikuwa wa kiume

Kilitokea nini mpaka ikawa hivyo??

Halafu vipi mbona wengine wanakuita RICHARD ABRAHAM??

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Duh..[emoji15] [emoji15]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…