Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] mume Wa mtu!Mambo ya wataalam kwa mtoto wa kizaramo ni kawaidaaa babuu
Mapenzi bila mtaalam hayaendi lazima umteke mme wa mtu hadi akifika kwake haioni nyumba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa mme wakwako peke yako hayupo[emoji108] [emoji108][emoji23] [emoji23] mume Wa mtu!
Kwa iman ya kabila lako ruksa !?
Huoni kuwa unaharibu ndoa ya mwanamke mwenzio!?
Kwann unawapenda kiasi cha kuwaendea kwa mganga je hujiamini?
DJ sepetu
Aisee una mtoto dearUnaambiwa mme wakwako peke yako hayupo[emoji108] [emoji108]
Ukitaka wako kakate mgomba uufungie ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji134] Kichambo sitakiiii richa nashangaa tu mimi ila ujue tu what goes around always comes aroundMambo ya wataalam kwa mtoto wa kizaramo ni kawaidaaa babuu
Mapenzi bila mtaalam hayaendi lazima umteke mme wa mtu hadi akifika kwake haioni nyumba yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaambiwa mme wakwako peke yako hayupo[emoji108] [emoji108]
Ukitaka wako kakate mgomba uufungie ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina mtoto dearAisee una mtoto dear
Familia kwako ina umuhimu gani
DJ sepetu
Twende dj nlikuwa naogaUnapotea sana richa unatoa radha
DJ sepetu
Siwezi penda wanangu watesekeHuna mtoto
Labda ukipata mtoto je utapenda wanao wateseke?
Vip kama baba yao katekwa Na mwanamke Wa kando!?
Ukijua utafanyaje kwa mfano
DJ sepetu
Hahaaaaa dj wanawake wa jf hawajui mapenzi jomon nikianza kutaja stail na mautundu yangu wataiga hapaHongera nadhani hapo umeloa!
Kanga moko! Kizaramo
Silaha zako ni zipi unazotumia ambazo unahisi mwanamke mwenzio hana
Your uniqueness!
DJ sepetu
Taja mtani wangu ikibid weka na pichaHahaaaaa dj wanawake wa jf hawajui mapenzi jomon nikianza kutaja stail na mautundu yangu wataiga hapa
Si ndio vizuri richaabra! waimalishe ndoa zao!Hahaaaaa dj wanawake wa jf hawajui mapenzi jomon nikianza kutaja stail na mautundu yangu wataiga hapa
Yeah nilishawahi kumtongoza mwanaume but kipindi sihayajua mapenziSi ndio vizuri richaabra! waimalishe ndoa zao!
Ulishawahi mtongoza mwanaume?mwanaume domo zege ulishakutana nao!?
Kati ya mwanaume maskin ila anakupenda Na tajir ila hakupendi bora yupi
DJ sepetu
NATANGULIZA SAMAHANI KWA HAYA MASWALI TAFADHALIHahaaaaa dj wanawake wa jf hawajui mapenzi jomon nikianza kutaja stail na mautundu yangu wataiga hapa
Duh..[emoji15] [emoji15]NATANGULIZA SAMAHANI KWA HAYA MASWALI TAFADHALI
Richabra kuna huu uzi WAKO hapa
Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa
Unasema wewe ulikuwa ni wa kiume?? ulimtoa bikira binamu yako?? ni kweli?? Halafu vipi mbona watu baada ya kukusakama kwenye ule uzi ukaufuta??
Huku umekuwa mwanamke,? Mbona kwenye huo uzi ulikuwa wa kiume
Kilitokea nini mpaka ikawa hivyo??
Halafu vipi mbona wengine wanakuita RICHARD ABRAHAM??
Sent from my iDevice using Tapatalk