Ilikuwepo asubuhi ila muda huu ni mawingu tu dada mana hata jua hakuna.Nakuona dada hujambo kabisa huko mvua vipii ipo
Hebu acha hiz mambo jibu maswali yaliyopitaShunie na emmyta mna nyota ya mende mashoga zangu kila mnapopita mnaishia kukanyagwa heheeeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku dada leo mvua kwa sanaaa ujue yaan Mungu katuonaIlikuwepo asubuhi ila muda huu ni mawingu tu dada mana hata jua hakuna.
Ngoja tutoke mwana kwetu yuko wapi da Shunie tuondoke naye.Mashauzi kayaigiza husna the bossy lady seuze. .......emmyta njoo unitoe huku sina nguvu[emoji6][emoji6][emoji6]
Ndio hapo sasa. [emoji23] [emoji23]Pale unapomquote mtu hakujibu [emoji1][emoji1] hana time na wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shunie haya gari lishakuja njoo tuondoke hapafai ten hapa
Kabisa yaani. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unaonekana nzwanzwa ujue dada [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji23][emoji23] dashi dashi in sambaa's voice
Dada etu emmyta katuokoa mwenzangu sihaba njoo tuchukue lift hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gari gani ndugu litakua fuso limekuja na makabeji kutoka kwetu
Ngoja nikashone sare fasta nije na matarumbeta sas hiv nakujaHapo ndio unaponishangaza ujue hakuna kuondoka mm nipo hakiharibiki kitu ukhuty yupo na linamo anakuja
Weraaaaweraaaa [emoji1][emoji1][emoji1]Ndio hapo sasa. [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji23][emoji23] dashi dashi in sambaa's voice
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hasutwi mtu hapUsisahau na baikoko na kigoma cha ulugwai. [emoji1][emoji1]
Weraaaaweraaaa [emoji1][emoji1][emoji1]
Usisahau na baikoko na kigoma cha ulugwai. [emoji1][emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbavu zangu miee. Lol.
Nani kakubishia mkuu.Mmeshaambiwa hamjui mapenzi...!