Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Video call sio issue kama anampa jirani yake we ukionana nao ndio ukuje kwa kujiamini hii jf haipo kama fb au insta
Basi itakuwa kajiandaa maana kama siye hawezi kukujibu paap issue za jf

DJ sepetu
 
Ugomvi wa kuchukuliana mabwana mashoga zangu msiulete huku heheeeeeeeeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Naona mishipa imewasimama kweli
Welcome

DJ sepetu
 
Ugomvi wa kuchukuliana mabwana mashoga zangu msiulete huku heheeeeeeeeeeeee[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji23] [emoji23] [emoji23]


Naona mishipa imewasimama kweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wamekusikia mrembo

Sent using Gwikereghe S33
 
Shunie shogaangu kama sijakuchukulia bwana basi wewe ni mwanaume unaetumia id ya kike na yawezekana nishakuchuna hivyo riho inauma
Wala hujakosea sababu we unatumia i'd ya kike huku ukiwa ni me na mi nitakuwa hivyo hivyo mwanamke huwezi kabisa kujisifu ujinga ule kama hautakuja kuzaa au hautakuja kuolewa ulitaka nitetee ule upumbavu
 
Jf sio story zote mtu unazichukulia serious jomon....
I concurs with you!
Mimi nilijua hata kama uliandika wewe haukuwa serious au ulikuwa una present issue iliyomtokea mtu
Hivi uwe me mashauz haya ya kike ungeyaigiza vipi lo!

DJ sepetu
 
Yani nikifikiria tu maneno yake ya jana ananipa maswali mengi Sana[emoji23] [emoji23]
Mwanaume anatamani kuwa na chura tena anafurahi na kukejeli wanawake flat screen. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Dunia simama nishuke
Usishuke bana swahiba haya yote utayapata wapi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom