Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Sio kusupport uzi wake huko anajiita Richard anamgegeda binamu yake halaf unapenda kupinga hata kama unatumiwa picha kama za kudownload ungekuwa unaonana nao kabla ya interview ndio ungekuwa unaongea hivyo kwa kujiamini
Mwambie huyo maana anajitoa ufahamu kama nini
 
Kwa nini alifuta uzi kama alikua ni ke bahati nzuri watu walishacopy uzi halaf mtu mwenye akili unajua kabisa hizi i'd zinazojifanya ke kumbe me zinajitoa ufahamu sana mbili haikai tatu haikai mwenye akili unajua tu
 
Yani nikifikiria tu maneno yake ya jana ananipa maswali mengi Sana[emoji23] [emoji23]
Mwanaume anatamani kuwa na chura tena anafurahi na kukejeli wanawake flat screen. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Dunia simama nishuke
 
Anafurahi kutembea na mume wa mtu na kumchuna mwanamke anaweza kufurahia hivyo sababu anajua ipo siku na yeye ataolewa tu yaan mashemale ya humu ni sheeda
 
Sio kusupport uzi wake huko anajiita Richard anamgegeda binamu yake halaf unapenda kupinga hata kama unatumiwa picha kama za kudownload ungekuwa unaonana nao kabla ya interview ndio ungekuwa unaongea hivyo kwa kujiamini
Sio Picha tu kuna namna kadha za Ku prove hata video call!

DJ sepetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom