Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
4162907a0f202f9d889fa110e8be97bd.jpg
Woow !

To accomplish much you must first lose everything..
 
Jina langu halisi ni Nahya

Nimezaliwa Dar es salaam

Mwaka 1992

Umri 25

Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko

Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida

Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
7ecfb23a00307b87a5bab2aa7967d54d.jpg




Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe Daby
 
Nimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mwanaume ukimkatikia hakuachi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyani Ngabu amka uje hapa unithibitishie
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom