Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Uanamke kazi kweli kweli tayari mshaanza umbea na mipasha..

Nahya mpenzi achana nao..
 
c2b4f287c3ad4fce41928b71fe41fa5f.jpg
umeplan kuolewa ukiwa na miaka mingapi?
 
Nimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaaaaaaachecheeeeee[emoji87][emoji87]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom