H-Hour
Member
- Aug 16, 2015
- 81
- 46
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubuyu wa mwendo kasi huuu[emoji23][emoji23][emoji23]Atakuja bila shaka. Ubuyuuuu !!!
Aiseeh,Wa richaabra eti
Leo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23]Yaan leo balaa mara kwa otieno mara hapa. Bado kule siasana makinikia inakimbiza mawaziri aiseee
Ndio kaweka ee,ila inasemekana eti sio yeye hizo pic zisharushwa humu na mtu mwingineAiseeh,
[emoji3][emoji3]Ila wewe ni chizi eti wa richaabra eti [emoji23][emoji23]
Unataka unikatikie?Kumbe mwanaume ukimkatikia hakuachi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyani Ngabu amka uje hapa unithibitishie
Mara ngapi,,Unataka unikatikie?
Mmmh ushafika huku mara hiiHuo mzigo wa nani?
Kumbe mods wana uwezo wa kuunganisha ID!![emoji28][emoji28][emoji28]Yes ni Erick etieno ndivyo inavyosoma hata pm zake sasa baada ya mods kuunganisha id zake
DJ sepetu
Leo raha sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Macho kotekote[emoji23][emoji23]Yaan ni paapu huku paapu kule
Hata mimi ID yangu mods wanatakiwa waiunganishe na ID ya lee empire kwa sababu hamna namna sasa!![emoji28][emoji28][emoji28]Ni mwanaume i'd yake imeunganishwa na huyo erick nani sijui imekuwa moja sasa
Wewe tena rafiki ujue Lee na hizo mambo za utani tofauti nikwambie tu ufahamuHata mimi ID yangu mods wanatakiwa waiunganishe na ID ya lee empire kwa sababu hamna namna sasa!![emoji28][emoji28][emoji28]
Hahaha,Mmmh ushafika huku mara hii
Mimi kuna siku nilimuomba niwe kaserengeti boy chake!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siwapatiii picha wanaume wa jf huko pm hiz ni habari mbaya sana kwao usikute na hela wameshatuma
Na mimi si nilikwambia huwa sipendi matani yako mpaka ukaniomba msamaha naona unaendeleza tena endelea tuMimi kuna siku nilimuomba niwe kaserengeti boy chake!![emoji28][emoji28][emoji28]