Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Me nimeshampa taarifa ajue tu siku akibadilikiwa asishangaeAniulize mm!
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nimeshampa taarifa ajue tu siku akibadilikiwa asishangaeAniulize mm!
DJ sepetu
Dada sakayo anadai ati huwa nakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!![emoji28][emoji28][emoji28]........dada sakayo baya sana!Na mimi si nilikwambia huwa sipendi matani yako mpaka ukaniomba msamaha naona unaendeleza tena endelea tu
Leo naongea mara ya mwisho sitaki uniquote hizo mambo zako sijui utani sitakiii mataniDada sakayo anadai ati huwa nakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!![emoji28][emoji28][emoji28]........dada sakayo baya sana!
Ikiendelea uniite kipenziHivi intavyuu imeisha eeh
Mmhhrichaabra aliondoka baada ya mama saby Na wenzio kumvamia ila l hope atarejea
DJ sepetu
Sio yupo busy na wateja saloon [emoji1]Mlizidi bhana!
Kumchimba
DJ sepetu
Haya we pepesa tu mie napitaHahaha,
Napepesa macho
UsijaliIkiendelea uniite kipenzi
Kwani kafanywa nini jamani?[emoji23][emoji23][emoji23]mmmh ila mumuache richaabra kidogo
DJ sepetu
Mama mie unafikiri hata nazifuatiliaga sana hizi interview basi!! Nilikwambia nilifuatilia ile yako coz ni wewe.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nilijua tuMama mie unafikiri hata nazifuatiliaga sana hizi interview basi!! Nilikwambia nilifuatilia ile yako coz ni wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]