Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Kwa hiyo mpaka leo hujui hata uliyokuwa uanayasoma maana ilikua ni mteremko tu[emoji23][emoji23]
Usinichambe shoga angu nisije paliwa
Soma koment utakufwa mbavu
[emoji3] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Jina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopaJina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nn sasa au unanihusisha Na huo uziBaada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa
cc. Dj Sepetu
google Pixel
Moja ya nyuzi zake hana tofaut na Otieone aka Husna bossladyNdo nn sasa au unanihusisha Na huo uzi
DJ sepetu
Mwenzanguu nimechoka bhanaaSakayo na Heaven Sent mpaka mmalize page zote kazi ipo [emoji1][emoji1][emoji1]
HahahaSaa mbili si ndio hii au sa mbili ya kwa trump
Nimefika mbali, ila najitahidi nisicomment. Kuna vichambooooSakayo na Heaven Sent mpaka mmalize page zote kazi ipo [emoji1][emoji1][emoji1]